Gombe, ni mji mdogo katika Wilaya ya Wakiso katika Mkoa wa Kati wa Uganda.

Mahali pa Gombe katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°29′51″N 32°28′26″E / 0.49750°N 32.47389°E / 0.49750; 32.47389

Mahali hariri

Gombe ni takribani kilomita 3 (maili 1.9), kwa barabara, kaskazini - magharibi mwa Matugga kwenye barabara ya Matugga - Kapeeka.[1]

Marejeo hariri

  1. "Map Showing Matugga And Gombe With Distance Marker". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 17 July 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)