Corno Grande

(Elekezwa kutoka Gran Sasso d'Italia)

Corno Grande ni mlima wa Apenini katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima Corno Grande, upande wa Mashariki
Corno Grande, upande wa Kusini

Urefu wake ni mita 2,912 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri