711
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 7 |
Karne ya 8
| Karne ya 9
| ►
◄ |
Miaka ya 680 |
Miaka ya 690 |
Miaka ya 700 |
Miaka ya 710
| Miaka ya 720
| Miaka ya 730
| Miaka ya 740
| ►
◄◄ |
◄ |
707 |
708 |
709 |
710 |
711
| 712
| 713
| 714
| 715
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 711 (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
- Jeshi la Waarabu Waislamu likiongozwa na jemadari Muhammad bin Qasim linavamia Uhindi na kuunda usultani wa Sind katika bonde la mto Indus.
- 30 Aprili - Jeshi la Waarabu Waislamu likiongozwa na jemadari Tariq ibn Ziyad linavuka mlango wa bahari wa Gibraltar na kuanza uvamizi wa Hispania.
- 19 Julai - Waarabu wanashinda jeshi la Wagoti wa Magharibi na kuangusha dola la Wagoti.
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
WaliofarikiEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: