Grand Theft Auto: London 1969

Grand Theft Auto Mission Pack # 1: London 1969 (inayojulikana kama Grand Theft Auto: London 1969) ni aina ya mchezo wa Grand Theft Auto iliyoanzishwa na Rockstar Canada na iliyotolewa na Rockstar Games tarehe 31 Machi 1999 kwa ajili ya Microsoft Windows. Pia ilitolewa tarehe 30 Aprili 1999 kwa ajili ya PlayStation.

Mchezo huu ulipewa tuzo ya BAFTA Interactive Entertainment katika Jamii:Sauti mwaka 1999.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto: London 1969 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.