Greatest Love Of All

"Greatest Love of All" ni wimbo wa wahyi uliotungwa na Michael Masser na Linda Creed, awali ulirekidiwa na George Benson kwa ajili ya filamu ya Muhammad Ali ya mwaka wa 1977, The Greatest. Rekodi ya awali ilikuwa kibao kikali kwa Benson, kwa kufikia #2 kwenye cha R&B za Billboard na kufanya 40 bora kote kwenye Billboard Hot 100 na adult contemporary chart.[1]

“The Greatest Love of All”
“The Greatest Love of All” cover
Single ya Whitney Houston
kutoka katika albamu ya Whitney Houston
Imetolewa Aprili 1986
Muundo CD single
Cassette single
7" single
12" single
Imerekodiwa 1985
Aina Soul, R&B
Urefu 4:52
Studio Arista Records
Mtunzi Michael Masser
Linda Creed
Mtayarishaji Narada Michael Walden
Mwenendo wa single za Whitney Houston
"Greatest Love of All"
(1986)
"I Wanna Dance with Somebody (Who Loves Me)"
(1987)

Ilhali Creed ametunga mashairi haya, alikuwa katikati ya mapambano yake pamoja na kansa ya matiti. Maneno yanaelezea hisia zake za kukabiliana na ugonjwa huku akiitwa mama ilhali yunguli mdogo. Hatimaye Linda akajakufa na ugonjwa huo mnamo mwezi wa Aprili katika mwaka wa 1986 (alikufa akiwa na umri wa miaka 37).

Wimbo huu ulikuwa wa nne na wa mwisho kutolewa kutoka katika albamu ya Whitney Houston yenye jina sawa na la kwake, Whitney Houston. Ilitolewa mnamo mwezi wa Aprili 1986, nakwa bahati toleo la Houston lilitamba kwa takriban majuma matatu kwenye chati za Billboard Hot 100 mnamo mwezi wa Mei katika mwaka huo.[2]

Muziki wa Video

hariri

Muziki wa video wa toleo la Houston, limepigwa kwenye Harlem Apollo Theater mnamo 1986, imemuhusisha Cissy Houston aliocheza kama yeye, akimwamasisha na kumsaidia Whitney wakati yungali bwana mdogo huku akiwa na umaarufu wake.

Orodha ya Nyimbo

hariri

US Vinyl, 7", Single

  • A Greatest Love Of All 4:51
  • B Thinking About You 4:06

Marejeo

hariri
  1. Hyatt, Wesley (1999). The Billboard Book of #1 Adult Contemporary Hits (Billboard Publications), page 306.
  2. Bronson, Fred (2003). The Billboard Book of #1 Hits, 5th Edition (Billboard Publications), page 636.

Viungo vya Nje

hariri