Guglielmo Guerrini
Guglielmo Guerrini (alizaliwa 24 Mei 1950) ni kocha wa michezo kutoka Italia, ambaye tangu mwaka 1989 amekuwa mkufunzi wa bingwa wa mashindano ya kuendesha mtubwi baharini (canoeing), Josefa Idem.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guglielmo Guerrini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |