Gwido wa Anderlecht
Gwido wa Anderlecht (pia: Guidon, Guy, Wye; Anderlecht, Ubelgiji, 950 hivi - 1012 hivi) alikuwa mkulima ambaye alitunza kanisa la Mariensee na kupata umaarufu kwa ukarimu wake kwa fukara.
Baadaye kwa miaka saba aliishi bila makao maalumu, akienda hija sehemu mbalimbali, hadi Nchi Takatifu alikokaa miaka kadhaa [1]. Hatimaye alirudi kwao akafa kwa moyo wa ibada. [2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 12 Septemba[3].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |