Mchoro mdogo
Mchoro mdogo ni mchoro uliofanyika hasa katika vitabu vilivyoandikwa kwa mkono.
Kuanzia karne ya 16, hasa Uingereza na Ufaransa, matajiri walipenda kuchorwa namna hiyo hadi ilipobuniwa kamera katikati ya karne ya 19. Lengo lilikuwa kujitambulisha kwa watu wa mbali, kwa mfano kwa ajili ya ndoa, au kuwa na kumbukumbu ya mtu mpendwa wakati wa kuwa mbali naye.
Udogo wa mchoro ulifikia pengine mm 40 × 30.
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Foskett, Daphne (1987). Miniatures: Dictionary and Guide. London: Antique Collectors' Club. ISBN 1-85149-063-9.
- Coombs, Katherine (1998). The Portrait Miniature in England. London: Victoria and Albert Museum. ISBN 1-85177-207-3.
- Elizabeth Lounsbery (Januari 15, 1917). American Miniature Painters. The Mentor.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Victoria and Albert Museum, miniatures gallery Ilihifadhiwa 8 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Artists and Ancestors - A Miniature Portrait Collection
- "The Origin of the Portrait Miniature". Paintings & Drawings. Victoria and Albert Museum. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-29. Iliwekwa mnamo 2007-08-21.
- Collecting and Researching Miniature Portraits Ilihifadhiwa 5 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- Copy, Fake, and Decorative Miniatures Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchoro mdogo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |