Gyeongsangnam-do
Gyeongsangnam-do (경상남도 au 慶尙南道) au Gyeongnam ni mkoa wa Korea Kusini. Mji mkuu ni Changwon (창원시 au 昌原市).
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gyeongsangnam-do kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |