Habib Thiam (21 Januari 193326 Juni 2017)[1] alikuwa mwanasiasa wa Senegal. Alihudumu kama Waziri Mkuu wa Senegal mara mbili, kuanzia 1 Januari 1981 hadi 3 Aprili 1983, na tena kutoka 8 Aprili 1991 hadi 3 Julai 1998.[2] Pia aliwahi kuwa Rais wa Bunge mwaka 1983 hadi 1984.

Habib Thiam

Marejeo

hariri
  1. "Sénégal : décès de l'ancien Premier ministre Habib Thiam", BBC News, 27 June 2017 Kigezo:In lang.
  2. "Assemblée nationale - Les députés, le vote de la loi, le Parlement Sénégalais". 12 Mei 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Habib Thiam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.