Kaizari Hadrian
(Elekezwa kutoka Hadrian)
Publius Aelius Traianus Hadrianus (24 Januari, 76 – 10 Julai, 138) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 10 Agosti, 117 hadi kifo chake. Alimfuata Kaizari Trajan.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Hadrian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |