Mlozilozi
(Elekezwa kutoka Hagenia abyssinica)
Mlozilozi (Hagenia abyssinica) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlozilozi
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mlozilozi au mdobore (kutoka Kihehe; kwa lugha ya kisayansi Hagenia abyssinica) ni mti mkubwa wa familia Rosaceae.
Mti huu unatokea milimani kwa Afrika ya Kati na ya Mashariki kwa mwinuko wa 2000-3000. Urefu wake ni hadi m 20 na una shina fupi, matawi manene na gome nene linalobabadua. Unatoa mua madogo katika vishada yenye rangi ya machungwa isiyoiva hadi nyekundu-pinki.
Picha
hariri-
Majani
-
Maua
-
Shina na gome linalobabadua
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlozilozi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |