Haitian Music Award

Tuzo za Muziki ya Haiti, ni onyesho la kila mwaka la tuzo za muziki za Haiti ambalo kwa mara ya kwanza ilifanyika Jumapili Aprili 12, 2009 katika Ukumbi maarufu wa Avery Fisher Hall katika Kituo cha Lincoln cha Sanaa ya Maonyesho huko New York.[1]

Historia

hariri

Tuzo ya kwanza ya muziki wa Haiti ilifanyika mnamo Februari 2009.Tuzo hizi zilionyesha kazi kubwa zinazofanywa na wasanii wa Haiti.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Haitian_Music_Award#cite_note-1
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/Haitian_Music_Award#cite_note-2
  3. https://en.wikipedia.org/wiki/Haitian_Music_Award#cite_note-3