Halimatu Ayinde

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Halimatu Ibrahim Ayinde (alizaliwa 16 Mei 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Eskilsua United, na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Nigeria.[1] Alicheza kama mshambuliaji wa klabu ya West New York Flash huko Marekani na Delta Queens ya Nigeria.[2]

Halimatu Ibrahim Ayinde
Amezaliwa 16 Mei 1995
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. "Profile". FIFA.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 June 2015. Iliwekwa mnamo 20 June 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 2022-05-14. Archived from the original on 2016-04-10. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Halimatu Ayinde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.