Hallasan ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 1,950 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Hallasan

Uko nchini Korea Kusini; ndio mrefu kuliko yote ya nchi hiyo.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hallasan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.