Hamza Mendyl

Mchezaji wa soka wa Moroko

Hamza Mendyl (amezaliwa 21 Oktoba 1997) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama mlinzi wa nyuma (beki) katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani.

Hamza Mendyl.

Kazi ya klabu hariri

Schalke 04 hariri

Tarehe 17 Agosti 2018, Mendyl alijiunga na Schalke 04 kwa mkataba wa miaka mitano.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamza Mendyl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.