Hana Librová (alizaliwa Brno, Moravia, 26 Novemba 1943) ni mwanabiolojia, mwanasosholojia na mwanamazingira wa Ucheki.

Hana Librová (2018)

Ni mwanzilishi wa Idara ya Masomo ya Mazingira katika chuo cha Masaryk.[1] Alishawahi fanya utafiti juu ya miitindo ya mazingira na thamani ya mazingira

Marejeo hariri

  1. Masarykova univerzita. "prof. RNDr. Hana Librová, CSc. – Životopis". Masarykova univerzita (kwa Kicheki). Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hana Librová kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.