Hannah Cain

Mchezaji mpira wa kulipwa (1999-)

Hannah Cain (alizaliwa 11 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Welisi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Welisi.[2][3]

Hannah Cain akichezea Leicester City mnamo 2021

Marejeo hariri

  1. https://web.archive.org/web/20161104230225/http://resources.fifa.com/mm/document/tournament/competition/02/83/62/03/fu17w_2016_squadlists_neutral.pdf
  2. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-05. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hannah Cain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.