Harrison George Mwakyembe

(Elekezwa kutoka Harrison Mwakyembe)
Mwakyembe

Harrison George Mwakyembe (amezaliwa tar. 10 Desemba 1955) ni mbunge wa jimbo la Kyela katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Harrison George Mwakyembe (16 Mei 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.