Haruna Chanongo

mwanasoka wa Tanzania

Haruna Chanongo (alizaliwa tarehe 14 Novemba mwaka 1991) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu wa timu ya taifa ya Tanzania iliyopo barani Afrika.

Chanongo anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Mtibwa sugar na timu ya taifa ya Tanzania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haruna Chanongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.