Hassan Wasswa

Mwanasoka wa Uganda

Hassan Wasswa (alizaliwa 14 Februari 1988) ni mchezaji wa soka wa Uganda ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya El-Geish huko Misri na timu ya tifa ya Uganda.

Ligi alizocheza hariri

Ligi Kuu ya Ethiopianmwaka mwaka 2007 hadi mwa ka 2008

Ligi ya kwanza ya TFF mwaka 2009 hadi mwaka 2010.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassan Wasswa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.