Hassane Fofana (alizaliwa 28 Aprili 1992) ni mwanariadha kutoka Italia aliyeshiriki kwenye kuruka vihunzi[1]. Ana asili ya Ivori Coast[2]. Alishindana kwenye michuano ya 2020 ya olimpiki ya majira ya joto ,kwenye vihunzi mita 110.[3]

Hassane Fofana wa kwanza kutoka kushoto
Hassane Fofana wa kwanza kutoka kushoto

Marejeo hariri

  1. Hassane FOFANA | Profile | World Athletics. www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  2. Hassane Fofana (g.s. Fiamme Oro Padova) (en). www.fidal.it. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  3. Athletics FOFANA Hassane - Tokyo 2020 Olympics (en-us). olympics.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.