Hawa Chakoma

Mwanasiasa wa Tanzania

Hawa Mchafu Chakoma(amezaliwa tarehe 10 Februari 1983) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020 [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017