Herðubreið ni mlima uliopo katika kisiwa cha Iceland yenye kimo cha mita 1,682.

Mlima wa Herðubreið upande wa Kusini-Mashariki

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Herðubreið kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.