Msitu wa Amani ulianzishwa mwaka 1997 kwa ajili ya kulinda vizazi vya uoto wa flora na fauna katika upande wa mashariki mwa Milima ya Usambara.

Chura wanaopatikana ndani ya msitu wa Msitu ya Amani

Uhifadhi huo kwa sasa umekuwa ni kivutio kizuri cha utalii kwani kimezidi kukua na kuongezeka. Eneo hili lina makundi makubwa ya ndege, vipepeo na miti ambayo mingine hupatikana katika hifadhi hii tu. Pia kuna nyani weupe, weusi na wa rangi ya bluu. Pia kuna aina tisa za mimea jamii ya violet (African violet) na ndege kam bundi na taiNduk Eagle owl ambao wanapatikana katika hifadhi hii pekee.[1]

Marejeo hariri

  1. Majarida ya uhifadhi na utalii wa Tanzania

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Msitu ya Amani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu "Msitu ya Amani" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.