Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe

Eneo la hifadhi Tanzania

Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe ipo katika mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].

Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 247 katika wilaya za Karagwe na Kyerwa.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Rumanyika-Karagwe National Park" (PDF). Tanzania National parks. Iliwekwa mnamo 2023-08-01.