Hifadhi ya Taifa ya Assagny

Hifadhi ya Taifa ya Assagny, ni mbuga ya Taifa kusini mwa Ivory Coast .

Iko kwenye pwani kama 75 km (47 mi) magharibi mwa Abidjan, katikati ya mlango wa Mto Bandama na Lagoon ya Ébrié, na inachukuwa eneo la takribani hektari 17,000 . [1]


Marejeo hariri

  1. Parc national d'Azagny. United Nations Environment Programme (1983). Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-11-01. Iliwekwa mnamo 2 June 2019.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Assagny kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.