Hifadhi ya Taifa ya Takamanda
Hifadhi ya Taifa ya Takamanda ni eneo lililohifadhiwa nchini Kamerun, lililoanzishwa mwaka 2008 ili kusaidia kuwalinda sokwe walio hatarini kutoweka. [1]
Hifadhi ya Msitu wa Takamanda, ilianzishwa mnamo 1934 na eneo la kilomita za mraba 675.99. [2]
Kuna takriban vijiji 43 katika hifadhi hiyo na mwaka 2000 watu wapatao 16,000 waliishi humo. [3]
Hifadhi hiyo ina sifa ya bioanuwai kubwa, ambayo wanyama mbalimbali huishi, pamoja na aina kadhaa za nyani, kuna nguruwe wa mwitu, antelopes ndogo na aina nyingi za ndege. [4]
Marejeo
hariri- ↑ www.physorg.com
- ↑ World Database on Protected Areas
- ↑ Centre, UNESCO World Heritage. "Cross River – Korup – Takamanda (CRIKOT) National Parks (Nigeria)". UNESCO World Heritage Centre (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-12.
- ↑ "Takamanda Mone Landscape". cameroon.wcs.org. Iliwekwa mnamo 2021-02-12.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Takamanda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |