Hifadhi ya Taifa ya Toubkal

Hifadhi ya taifa nchini Morocco

Hifadhi ya Taifa ya Toubkal ni hifadhi ya taifa katika safu ya milima ya Atlas kilomita 70 kutoka Marrakesh katikati-magharibi mwa nchini Moroko. Jbel Toubkal ni kilele cha juu cha Hifadhi yenye urefu wa 4,167 mita.[1][2]

Hifadhi ya Taifa ya Toubkal


Marejeo

hariri
  1. "The Toubkal National Park Guide (2021)". Moroccanzest (kwa American English). 2021-01-20. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
  2. "Accueil". Parc national de Toubkal (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Toubkal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.