Hilari wa Toulouse

Hilari wa Toulouse (aliishi karne ya 4) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki huko Toulouse, Galia, leo nchini Ufaransa hadi kifo chake.

Alitafuta masalia ya mtangulizi wake, Saturnini, akajenga kanisa la mbao juu yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.