Hirving Lozano

Mchezaji wa shirikisho wa mpira wa miguu nchini Mexico anayechezea timu ya Napoli, anamiaka 27

Hirving Rodrigo Lozano (anajulikana kwa jina la Chucky; alizaliwa 30 Julai 1995) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Uholanzi iitwayo PSV na timu ya taifa ya Mexico.

Hirving Lozano

Alianza kazi yake na klabu ya Pachuca, kushinda ligi ya Clausura 2016 kucheza katika michezo 149 na kufunga mabao 43 kwa timu hiyo. Mnamo Juni 2017, alijiunga na PSV Eindhoven, kushinda Eredivisie msimu wake wa kwanza nchini Uholanzi, na kumaliza kama mchezaji mkuu wa timu.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hirving Lozano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.