Mji wa Ho Chi Minh

(Elekezwa kutoka Ho Chi Minh City)

Mji wa Ho Chi Minh (Kivietnam: Thành phố Hồ Chí Minh, Sài Gòn) ni mji mkubwa nchini Vietnam mwenye wakazi zaidi ya milioni 7,1. Iko katika kusini ya taifa hili. Hadi 1975 ilijulikana kwa jina la Saigon ikiwa ni mji mkuu wa nchi ya Vietnam Kusini. Baada ya kutwaliwa na jeshi ka Vietnam Kaskazini ukapewa jina jipya kwa heshima ya kiongozi ya kaskazini marehemu Ho Chi Minh.

Mji wa Ho Chi Minh - Thành phố Hồ Chí Minh

Mji wa Ho Chi Minh
Habari za kimsingi
Mkoa Mji wa Ho Chi Minh
Anwani ya kijiografia 10°2'N, 106°51'E
Kimo 18 m juu ya UB
Eneo 2095 km²
Wakazi 7.383.800 (2009)
Msongamano wa watu watu 2.095 kwa km²
Simu 84 (nchi), 4 (mji)
Mahali
Kanisa Kuu ya Mji wa Ho Chi Minh

Tazama pia

hariri