Horst Werner Buchholz (4 Desemba 19333 Machi 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Ujerumani. Ana kumbukwa zaidi kwa kucheza kama Chiko kutoka katika filamu ya The Magnificent Seven. Buchholz amepata kuonekana katika filamu zaidi ya sitini wakati wa shughuli zake kuanzia mwaka 1952 hadi mwaka wa 2002.

Horst Buchholz

Amezaliwa Horst Werner Buchholz
4 Desemba 1933 (1933-12-04) (umri 91)
Berlin, Ujerumani
Amekufa Berlin, Ujerumani
Ndoa Myriam Bru (1958-2003)

Maisha na shughuli za uigizaji

hariri

Filamu alizocheza

hariri
  • Himmel ohne Sterne (1955)
  • Die Halbstarken (1956)
  • Bekenntnisse des Hochstaplers Felix Krull (1957)
  • Nasser Asphalt (1958)
  • Tiger Bay (1959)
  • The Magnificent Seven (1960)
  • Fanny
  • One, Two, Three (1961)
  • The Empty Canvas (1963)
  • That Man in Istanbul (1965)
  • Cervantes (1967) (he played the title role)
  • Sahara (1983)
  • Aces: Iron Eagle III (1992)
  • Faraway, So Close! (1993)
  • Life Is Beautiful (1997)
 

Viungo vya nje

hariri