How to Stop an Exploding Man
"How to Stop an Exploding Man" ni sehemu ya ishirini na tatu na mwisho ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Tim Kring na kuongozwa na Allan Arkush. Kipengele ndiyo cha mwisho katika vipande vitatu vya mwisho katika msimu wa kwanza.[1]
"How to Stop an Exploding Man" | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Sehemu ya Heroes | |||||||
Peter and Sylar face-off at Kirby Plaza. | |||||||
Sehemu ya. | Msimu 1 Sehemu 23 | ||||||
Imetungwa na | Tim Kring | ||||||
Imeongozwa na | Allan Arkush | ||||||
Tayarisho la | 123 | ||||||
Tarehe halisi ya kurushwa | 21 Mei 2007 | ||||||
Waigizaji wageni | |||||||
| |||||||
Orodha ya sehemu za Heroes |
Sehemu hii imeanza kupigwa picha mnamo tar. 26 Machi. Imeanza kurusgwa mnamo tar. 21 Mei 2007.[2] Jina la sehemu hii linatokana na swali ambalo Hiro Nakamura aliuliza kwenye "Fallout".
Hadithi
haririMr. Bennet anamnyooshea silaha Molly, anamtishia maisha ya binti huyo ili amwokoe Claire, na Suresh anamnyooshea silaha kwa Bennet, ili kumwokoa Molly. Mvutano uliovurugwa baiana ya Molly na Matt Parkman umepelekea kuwekeana dosari.
Sylar anaona mchoro unaomtabiri mapigano baina yake na Peter, ambaye amemtambua mapema.
Hiro anamwambia baba'ke hana budi kumsaidia Ando na kumzuia Sylar. Amesafirisha kiajabu na kutoka kwenye dari la Isaac Mendez, ambapo Ando alipigwa pini ukutani na Sylar. Hiro anawasili kumkabili Sylar, na Sylar anamnzingua Hiro aondoke haraka awezavyo. Kwa kumshangaza Sylar, Hiro ameteleport humo kwa humo hadi kwa Ando na wote wakatoweka kabla Sylar hajafanya balaa lake.
Marejeo
hariri- ↑ Lee, Patrick (2007-03-19). "Heroes Finale Details Leaked". SciFi Wire. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-22. Iliwekwa mnamo 2007-03-19.
- ↑ "Heroes: How to Stop an Exploding Man - TV.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-30. Iliwekwa mnamo 2010-09-17.
Viungo vya Nje
hariri- Beaming Beeman: Episode 23: How to Stop an Exploding Man, Director's blog on the filming of this episode.