Hugo Sánchez
Hugo Sánchez Márquez (alizaliwa 11 Julai 1958) ni mchezaji mstaafu wa soka wa Mexiko ambaye alicheza kama mshambuliaji katika timu ya Real Madrid.
Mchezaji huyu aliyejulikana sana kwa ajili ya mchezo na uwezo wake wa ajabu, Sánchez anaonekana sana kama mchezaji bora wa Mexiko wa wakati wote katika kizazi chake.
Sánchez alianza kazi yake katika klabu ya Universidad Nacional mwaka wa 1976, na kwa muda mfupi akaenda kwa mkopo kwa Sockers San Diego, Mwaka 1981 alihamia Hispania kuchezea Atlético Madrid, baadae alihamia Real Madrid, ambapo alitumia miaka hiyo kupata mataji mengi.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hugo Sánchez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |