Hwang Hee-chan (alizaliwa 26 Januari 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Korea Kusini ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Red Bull Salzburg na timu ya taifa ya Korea ya Kusini.

Hwang Hee-chan (2024)

Kazi ya klabu

hariri

Red Bull Salzburg

hariri

Mnamo Desemba 2014, Pohang Steelers alikusudia kumsainisha mkataba Hwang Hee-chan kama Mchezaji wa FC Red Bull Salzburg.

Mnamo tarehe 3 Novemba 2016, Hwang alitokea kwenye benchi na kuweza kufunga goli kwenye mechi ya Ligi ya Europa akiwa na klabu yake ya Salzburg dhidi ya klabu ya Nice upande wa Ligue 1, alichangia timu yake kushinda mchezo huo wa kwanza wa Europa kwenye hatua ya makundi.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hwang Hee-chan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.