Kuchanyika (Hyliidae)
(Elekezwa kutoka Hyliidae)
Kuchanyika | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 2:
|
Spishi kadhaa za kuchanyika ni ndege wadogo wa familia Hyliidae. Nyingine ni wana wa familia Cettiidae.
Spishi
hariri- Hylia prasina, Kuchanyika Kijani (Green Hylia)
- Pholidornis rushiae, Kuchanyika Kabumbu (Tit-hylia)
Picha
hariri-
Kiota cha kuchanyika kabumbu