I do ni jina la wimbo uliotoka tarehe 28 Februari 2017 ukiwa umetungwa na kuimbwa na msanii kutoka nchini Kenya, Willy Paul akiwa na Alaine kutoka Jamaika.

“I do”
Kasha la I do
Single ya Willy Paul akiwa na Alaine
Imetolewa 28 Februari, 2017
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina reggae, dancehall
Urefu 3:42
Studio Saldido Records
Mtunzi willy paul
Alaine
Mtayarishaji Teddy B
Mwenendo wa single za Willy Paul akiwa na Alaine
"I do"
(2017)
"Jigi Jigi"
(2017)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu I do kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.