Willy Paul
Mwanamuziki wa Kenya
Willy Paul (jina halisi: Wilson Abubakar Radido; alizaliwa 4 Februari 1993) ni mwimbaji na mwanamuziki wa njimbo za Kiinjili na za kidini kutoka Nairobi, Kenya.[1]
Willy Paul Msafi | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Wilson Abubakar Radido |
Amezaliwa | Februari 4 1993 |
Asili yake | Nairobi , Kenya |
Aina ya muziki | Mwanamuziki |
Kazi yake | Mwimbaji |
Aina ya sauti | Piano |
Miaka ya kazi | 2010–mpaka sasa |
Studio | Teddy B,Saldido Records |
Tovuti | www.willypaulmsafi.com |
Tanbihi
hariri- ↑ Boniface Mwalii. "Willy Paul Biography", Daily Nation, 17 November 2012. Retrieved on 23 March 2019. Archived from the original on 2019-03-30.