Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (kwa Kiingereza Tanzania Intelligence and Security Service; kifupi: TISS) ni idara ya usalama nchini Tanzania.[1]
Idara hiyo inafanya kazi kwa karibu na mashirika mengine ya kitaifa na ya kimataifa ya nyanja za usalama katika kuhakikisha amani ya kudumu, ulinzi na usalama, vinapatikana ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Kwa muktadha huo ni chombo ambacho kina kazi sawa na Idara ya Uhamiaji ambapo hufanya kazi ya kulinda amani pamoja na mipaka ya nchi.
Ukitoa usalama ambao ni kazi ya serikali, ni jukumu la nchi na viongozi wa idara hizo mbili kutoa taarifa ya jambo lolote linaloashiria uvunjifu wa amani ama ukiukaji wa haki stahiki za uingiaji nchini.
Marejeo
hariri- ↑ "The Tanzania Intelligence and Security Service Act, 1996" (PDF). Parliament of Tanzania. 1996. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-09-27. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |