Ilia Sergeyevich Vlasov (alizaliwa tarehe 3 Agosti 1995) ni mchezaji wa mpira wa wavu huko Urusi. Ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Urusi na klabu ya mpira wa wavu ya Fakel.

Ilia Vlasov
Ilia Vlasov (2017)

Alipata medali ya shaba katika Ligi ya mpira wa wavu ya Dunia miaka ya 2015.

Viungo vya nje

hariri