Imatong (jimbo)

Imatong State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imatong State
Mahali pa Imatong katika Sudan Kusini
Mahali pa Imatong katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Torit[1]
Idadi ya kaunti 12
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Patrick Raphael

Imegawanyika katika kaunti 12:

Kaunti Kaunti
ya awali
Ayaci County Magwi
Geria County Ikotos
Ikwoto County Ikotos
Imehejek County Lopa
Kidepo Valley County Ikotos
Lafon County Lafon/Lopa
Lopit West County Lopa
Magwi County Magwi
Pageri County Magwi
Torit County Torit
Torit East County Torit
Torit West County Torit

TanbihiEdit

  1. Imatong: Speaker And Deputy Elected, Commissioners, Administrators Sworn In. Gurtong (4 March 2016). Iliwekwa mnamo 14 August 2016.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Imatong (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.