Immaculée Ilibagiza

Immaculee Ilibagiza (alizaliwa nchini Rwanda mwaka 1972 [1]) ni mhamasishaji na mwandishi wa vitabu.

Immaculée Ilibagiza, mwaka 2007

Kitabu chake cha kwanza ni Left to Tell: Discovering God Amidst the Rwandan Holocaust kilichotoka mwaka 2006[2]; ni kitabu kinachoelezea matukio ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

Tanbihi hariri

  1. www.immaculee.com. "About". www.immaculee.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-30. 
  2. https://www.newtimes.co.rw/section/read/106816
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Immaculée Ilibagiza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.