Innocent Lugha Bashungwa

Mwanasiasa wa Tanzania

Innocent Lugha Bashungwa (alizaliwa 5 Mei 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Karagwe kwa mwaka 20152020. [1] Kwa sasa ni waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). [2] Oktoba 3, 2022, alichukua nafasi ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Tanzania. [3]

Mhe. Innocent Bashungwa (Waziri)


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Aliingia ofisini 
2022
Rais Samia Suluhu Hassan

Mbunge wa Karagwe
Aliingia ofisini 
2015

tarehe ya kuzaliwa 5 Mei 1979 (1979-05-05) (umri 45)
Karagwe
utaifa Mtanzania
chama CCM
tovuti https://www.tamisemi.go.tz/

Marejeo

hariri