Innocent Sebba Bilakwate

Innocent Sebba Bilakwate (amezaliwa 13 Septemba 1973) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Innocent Sebba Bilakwate amezaliwa kata ya Rutunguru, wilaya ya Kyerwa ambayo hapo enzi ilikuwa katika kata ya Kaisho. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kyerwa kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017