Inocencio María Yéregui
Inocencio María Yéregui Goichea (28 Julai 1833 - 1 Februari 1890) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Uruguay.
Baada ya kifo cha Askofu Jacinto Vera mnamo Mei 1881, Yéregui aliteuliwa kuwa askofu msaidizi wa Montevideo na askofu wa jimbojina la Canopus. Hatimaye, tarehe 22 Novemba 1881, aliteuliwa rasmi kuwa Askofu wa Montevideo.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |