Jacinto Vera
Jacinto Vera Durán (Bahari ya Atlantiki, 3 Julai 1813 – Pan de Azúcar, Uruguay, 6 Mei 1881) alikuwa Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Uruguay.
Alikuwa askofu wa kwanza wa Montevideo.[1][2]
Papa Fransisko alimtangaza mwenye heri tarehe 6 Mei 2023.
Marejeo
hariri- ↑ "Jacinto Vera | Municipio C". municipioc.montevideo.gub.uy. Iliwekwa mnamo 2023-03-19.
- ↑ "Vera, Jacinto". Encyclopedia.com. 2003. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |