Cheti cha Kimataifa cha Masomo ya Sekondari (kifupi cha Kiingereza: IGCSE au iGCSE) i hati ya kimataifa cha kufuzu kwa wanafunzi wa shule, kawaida katika umri wa 15-16 . Ni sawa na GCSE katika Uindereza, Wales & Ireland ya Kaskazini, gradi ya kawaida katika Scotland au cheti cha wadogo katika Jamhuri ya Ireland. IGCSE ya Cambridge ilitengenezwa na Shirika nla mitihani la kimataifa Chuo Kikuu cha Cambridge mwaka wa 1988. Bodi ya mitihani Edexcelhuwa na toleo lake la IGCSE.

IGCSE huandaa wanafunzi kwa elimu zaidi ikiwa ni pamoja na kuendelea katika masomo ya ngazi ya AS na A ,Cambridge Pre-U na Diploma ya IB . Hutambuliwa na taasisi za kitaaluma na waajiri duniani kote. Katika kujiunga na elimu ya juu katika Uingereza UCAS inatambua kuwa kama sawa na GCSE ya Uingereza.

Tarehe 15 Februari 2009, Silibasi 16 za IGCSE ya Cambridge zilipata sifa ya Ofqual. Zimeorodheshwa katika hifadhi ya Taifa la Uingereza. Kwa madhumuni ya sifa g,silibasi hizi huashiriwa kama "Vyeti vya kimataifa Cambridge vya ngazi ya 1 na 2 " katika Uingereza, ingawa zinajulikana duniani kote kama Cambridge IGCSE.

CIE sasa iko katika mjadala na Idara ya Uingereza Watoto, Shule na Familia , kama shule za nchi zingeweza kupata IGCSEya Cambridge kama shule za kujitegemea katika Uingereza, 300 ambazo hutoa huduma hii [1]

IGCSE ya Cambridge huwa na mfumo mpana na huwa na masomo kutoka maeneo mbalimbali: Lugha, maadili, Sayansi, Hisabati, kubuni, Ufundi na Amali. Masomo mengi ya IGCSE huwa na chaguo la makaratasi hasa au ya nje (katika Cambridge), na makaratasi ya msingi au ya juu (katika Edexcel). Hii imeundwa kufanya IGCSE kusaidia wanafunzi kwa ngazi mbalimbali za uwezo. Katika baadhi ya masomo, IGCSE inaweza kuchukuliwa na au bila kazi ya masomo. IGCSE ya Cambridge huruhusu mafundisho kutumia muktadha sawa katika eneo hilo, na kuifanya husika katika maeneo mbalimbali. Lengo yake ni kufaa wanafunzi ambao lugha yao ya kwanza si Kiingereza na lengo hili huwa pia katika mitihani.

Mwaka wa 2009,IGCSE Cambridge ilikuwa na zaidi ya mitihani 70 iliyofanywa wanafunzi katika nchi zaidi ya 120 duniani kote, ikiwa ni pamoja na Uingereza, Malaysia, Misri, Kuwait, Hong Kong, India, Bahrain, Peru, UAE, New Zealand, Vietnam na Costa Rica

Kuanzia 15 Septemba 2009, wanafunzi katika shule za serikali ya Uingereza watakubaliwa kufanya iGSCE baada ya idhini kutoka Ofqual. [2]

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri