Wilaya ya Iringa Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Iringa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 106,668 [1].

Mahali pa Iringa Mjini (kijani) katika mkoa wa Iringa.

Eneo lake ni hasa manisipaa ya Iringa pamoja na vijiji vya kando.

Viungo vya Nje Edit

  Kata za Wilaya ya Iringa mjini - Tanzania  

Gangilonga | Igumbilo | Ilala] | Isakalilo | Kihesa | Kitanzini | Kitwiru | Kwakilosa | Makorongoni | Mivinjeni | Mkwawa | Mlandege | Mshindo | Mtwivila | Mwangata | Nduli (Iringa mjini) | Ruaha


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iringa Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.