Wilaya ya Iringa Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Iringa. Eneo lake ni hasa manisipaa ya Iringa pamoja na vijiji vya kando.

Mahali pa mkoa wa Iringa (kijani) kabla ya kumegwa.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 106,668 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 202,490 [2].

Tanbihi hariri

Viungo vya Nje hariri

  Kata za Wilaya ya Iringa mjini - Tanzania  

Gangilonga | Igumbilo | Ilala | Isakalilo | Kihesa | Kitanzini | Kitwiru | Kwakilosa | Makorongoni | Mivinjeni | Mkimbizi | Mkwawa | Mlandege | Mshindo | Mtwivila | Mwangata | Nduli | Ruaha


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iringa Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.